Mzalishaji Tedd Josiah kupitia kwenye ukurasa wae wa instagram ameadhimisha miaka 4 baada ya kumpoteza mkewe Regina Katar.
Regina aliaga mwaka wa 2017 na kuacha kifungua mimba wake.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Tedd alimshukuru mkewe, na kumwambia awatazame haswa mwanawe.
"Huku ukiendelea kupumzika na malakik, tafadhali tuangalie haswa msichana wako Jay Jay maarufu Gummer bear
Maisha lazima yaendelee hata ikiwa umepata kilema katika hatua zako endelea kupumzika mama tunakupenda," Tedd Aliandika.
Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki;
poeticken: Heaven rejoices . Nwanyioma (Amazing woman) Keep resting Angel ❤️❤️
osslynodede: She was indeed beautiful ❤️,,may she continue resting in perfect peace 🕊️
onejikospeaks: ❤️❤️❤️ she is your guardian angel ❤️❤️❤️
bettykimeu: Beautiful Mama Bear. May she continue Resting with the Angels
christineachieng23: Wow nyakoni ne jaber nyasachiel😢😍😍 Rest in power beautiful girl.🔥