Mfanyibiashara Jimal Roho Safi alifahamika na kugonga vichwa vya habari mwaka wa 2021, baada ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanasosholaiti Amberay.
Uhusiano wa waiili hao ulidumu kwa siku chache, huku mkewe JImal akidai kupewa talaka kutokana na kutoheshimiwa na mumewe.
Akiwa kwenye mahojiano na Radiojambo,Amira alidai kwamba alijua kuhusu uhusiano wa mumewe na Amber kupitia mitandao ya kijamii.
JImal ameibua hisia mitandaoni, kati ya mashabiki baada ya kuwapa ushauri kwamba hawawezi kulaa na wanawake wote ambao wanapatana nao.
Pia aliwashauri na kusema kwamba wanawake wazuri wamo kila mahai.
"Huwezi kuoa au kulala na wanwake wote wanaokujia, wanawake waremboo watakuwa hapo daima,utakutana na warembo kila siku, jifunze kuwa na nidhamu na kujidhibiti," Alisema Jimal.
Mahabiki wengi waliona ujumbe wake kuwa kinaya, huku baadhi yao wakimwamia kwamba ujumbe huo ni wake.
Haya hapa baadhi ya maoni yao;
kamurlicious_betty: Hii message ni yako aki ungesoma polepole๐๐๐
_deivan_: ๐๐๐๐una preach something that you don't practice๐๐๐๐ bwana mkunaji wa amber ๐๐where is your wife ๐๐
wanjiru_mbugua_keLook who's talking๐๐๐๐๐.....๐
theevescollection: ๐๐๐๐๐ you are motivating yourself
abdikhafarissack: Bwana mkunaji mwenyewe anatupea some advice.. LoL๐๐๐