logo

NOW ON AIR

Listen in Live

‘Ukiachwa niko hapa’ Benzema amwambia Mungai Eve

Unadu kazi poa… Na ukikosana na chali yako, mimi siko mbali

image
na

Yanayojiri24 June 2022 - 12:11

Muhtasari


•Baadhi ya marafiki wamejaribu kuharibu uhusiano huo kwa kudai kuwa ni ex wa Mungai Eve. Lakini wameshindwa sana.

•Kwa sasa Mungai Eve yuko kwenye uhusiano na Mkurugenzi Trevor, ambaye wamekuwa naye kwa zaidi ya miaka miwili.

Benzema

Benzema anayejulikana pia kama Alejandro kutoka kundi maarufu la gengetone la Ochungulo Family alifichua kwamba anavutiwa na mwana You Tube maarafu Mungai Eve.

Wakati wa mahojiano ya hivi majuzi na Mungai Eve, Benzema hakuficha hisia zake  kumhusu mwanadada huyo. 

Kwa sasa Mungai Eve yuko kwenye uhusiano na 'director' Trevor, ambaye wamekuwa naye kwa zaidi ya miaka miwili.

Baadhi ya marafiki wamejaribu kuharibu uhusiano huo kwa kudai kuwa ni ex wa Mungai Eve lakini wameshindwa sana.

Lakini Benzema wa Ochungulo Family amejieleza na kutangaza kwamba ikiwa watatengana, yuko tayari kuchumbiana na yeye.

Unadu kazi poa… Na ukikosana na chali yako, mimi siko mbali sana…” Benzema alisema.

Miaka sita iliyopita, nyota maarufu wa gengetone Benzema aka Alejandro ambaye ni mojawapo  ya kundi la wasanii maarufu la Ochungulo family alikuwa ni 'producer' wa muziki wa EDM ambaye alifanya kazi na kundi la muziki la Electronic Letronica Circle.

Kwa bahati mbaya, wimbi la EDM halikupata kamwe umarufu nchini Kenya kama ilivyo ulimwengu kjote na hivyo kazi yao haikuwa na umarufu.

Mojawapo ya nyimbo maarufu ambazo Benzema alifanya na Letronica Circle ilikuwa wimbo wa hali ya juu ulioitwa ‘Kenya’ pamoja na Vanessa Vonroe.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved