Rais Uhuru Kenyatta ameanza kuchukua hatua kukabiliana na wimbi la mahasla kwa kukutana na viongozi wa eneo la mlima kenya .
Kenyatta amewaambia kwamba BBI sio ya kumpiga vita kiongozi yeyote au kumpiga jeki mwingine .Amesema hajamuambia yeyote kwamba hatomuunga mkono naibu wa rais William Ruto