Je tutasema ni kiki au ilikuwa drama ya ukweli, hii ni baada ya msanii Ringtone Apoko na mwanablogu Rober Allai kuzua drama baada ya magari yao kugongana.
Kupitia kwenye video ambayo imeenea sana mitandaoni, msanii huyo anaonekana akiwa analowa damu baada ya kuchapwa na rungu.
Pia kwenye video hiyo Ringtone anasikika akimwambia mwanablogu huyo kwamba amechukulia hatua mikononi mwake.
"Kwanini umenigonga na rungu yako, umechukulia hatua mikononi mwako," Ringtone aliongea.
Hizi hapa baadhi ya hisia za wanamitandao baada ya tukio hilo;
vinviny8638: Ringtone ft Alai๐๐๐..mbinguni hakuna Ajali hii itakua noma๐๐
_scoffie: Wakisii mtahama Nairobi sasa๐ข๐
solomookindo952021: Ongeseea yeye ingineew
_lu__i__sa_: Mkisii kwani anaeza pigika?๐๐๐๐๐
octa8gon_kenya: R for Ringtone, R for Robert, R for Rungu๐
joh_n_te: Finally amekipata๐๐๐
abdirahman_mwana_wa_fa: Let me bet boths team 2 score ๐ first half Robert 1 ringtone 0๐๐๐
Hii hapa video ya tukio hilo;
Ringtone & Robert Alai road drama๐#kanairo
— Hustler Nation KEโข (Rende) (@ken_rende) July 23, 2021
Judges
Nairobi
Rigathi Gachagua
Nyeri
IEBC
Otile brown pic.twitter.com/sI9XQqFwcJ