Msanii Ringtone apigwa kwa rungu hadharani na mwanablogu Robert Alai

Muhtasari
  • Msanii Ringtone apigwa kwa rungu hadharani na mwanablogu Robert Alai

Je tutasema ni kiki au ilikuwa drama ya ukweli, hii ni baada ya msanii Ringtone Apoko na mwanablogu Rober Allai kuzua drama baada ya magari yao kugongana.

Kupitia kwenye video ambayo imeenea sana mitandaoni, msanii huyo anaonekana akiwa analowa damu  baada ya kuchapwa na rungu.

Pia kwenye video hiyo Ringtone anasikika akimwambia mwanablogu huyo kwamba amechukulia hatua mikononi mwake.

"Kwanini umenigonga na rungu yako, umechukulia hatua mikononi mwako," Ringtone aliongea.

Hizi hapa baadhi ya hisia za wanamitandao baada ya tukio hilo;

vinviny8638: Ringtone ft AlaiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..mbinguni hakuna Ajali hii itakua nomaπŸ˜‚πŸ˜‚

_scoffie: Wakisii mtahama Nairobi sasaπŸ˜’πŸ˜‚

solomookindo952021: Ongeseea yeye ingineew

_lu__i__sa_: Mkisii kwani anaeza pigika?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

octa8gon_kenya: R for Ringtone, R for Robert, R for RunguπŸ˜‚

joh_n_te: Finally amekipataπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

abdirahman_mwana_wa_fa: Let me bet boths team 2 score πŸ™Œ first half Robert 1 ringtone 0πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hii hapa video ya tukio hilo;