logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Hongera!Nameless na Wahu watarajia mtoto wao wa tatu

Wamebarikiwa na wasichana wawili Tumiso na Nyakio.

image
na Radio Jambo

Habari22 June 2022 - 09:32

Muhtasari


  • Wawili hao ni miongoni mwa wanandoa mashuhuri wa kupigiwa mfano kwani wametuonyesha kwamba ndoa inaweza kudumu licha ya changamoto ambazo wanandoa hupitia

Ni furaha kwa familia ya The Mathenge's, kwani wanatarajia mtoto wao wa tatu.

Msanii Nameless na Wahu walitangaza habari hizo njema kwa mashabiki kupitia video waliopakia kwenye ukurasa wao wa instagram.

Wawili hao ni miongoni mwa wanandoa mashuhuri wa kupigiwa mfano kwani wametuonyesha kwamba ndoa inaweza kudumu licha ya changamoto ambazo wanandoa hupitia.

Wamebarikiwa na wasichana wawili Tumiso na Nyakio.

Kwenye mitandao ya kijamii wasanii hao wamekuwa wakikumbana na swali ni lii watapata mtoto mwingine, haya basi swali la mashabiki limejibiwa.

Mshabiki walimpongeza mama huyo wa watoto wawili, na hizi hapa baadhi ya jumbe zao;

nyabokemoraa: Awwwww Congratulations mama....baby shower niitwe please πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

nanaowiti: I guessed right!! Congratulations darling. A healthy baby loading πŸŽŠπŸŽ‰πŸŽˆπŸŽŠ

nicahthequeen: Congratulations πŸ‘ πŸ‘ ariririririri....Deep tumezama

millywajesus: Congratulations. This soo beautiful 😍

millychebby: Oh wow! Congratulations mama πŸ’

daddiemarto: Not what I expected πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Now that’s an announcement!!! Damn!! Congratulations!!

officialjanetmbugua: Giiirrrlll! Congratulations to you, @namelesskenya and your beautiful girls! Love this reveal πŸ™ŒπŸΎ


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logoΒ© Radio Jambo 2024. All rights reserved