Mgahawa na kuandaa chakula cha jamii ya Japan cha Sushi umesema kwamba umelipa takribani shilingi milioni 169 kwa samaki aina ya jodari kwenye bei ya mnada.
Samaki huyo aliyenunuliwa anakadiriwa kuna na uzani wa kilo sawia na uzito wa pikipiki itatolewa kwa mikahawa iliyo chini ya uongozo wa kampuni ya Onodera Group ikiweno mkahawa wa Nadaman na Ginza Onodera’
Kwa mujibu wa gazeti la Japan Times la nchini humo, samaki huyo wa aina ya Bluefin tuna aliuzwa kwa bei ya juu Zaidi ya mara 1.8 zaidi ya bei ya mwaka jana katika mnada huo.
Kwenye mnada huo ulioanza mwendo wa saa kumi na moja
asubuhi, kampuni ya Yamayuki ambayo ni mpatanishi katika soko la Toyosu, ilishinda
zabuni ya samaki huyoikiwa ni mwaka wao wa tano mfululizo kupata jodari wa bei
ya juu zaidi.
Akizungumza wakati wa kununua samaki huyo, rais
wa Yukitaka Yamaguchi alisema kuwa samaki huyo alivutia kutokana na ubora wake
wa kipekee