KIbao cha wiki:Tazama kibao kipya cha msanii Mejja

Muhtasari
  • Msanii Mejja Khadija ni miongoni mwa wasanii ambao wameshirikiana katika kutoa vibao vipya na wasanii wengine
Mejja
Image: Hisani

Msanii Mejja Khadija ni miongoni mwa wasanii ambao wameshirikiana katika kutoa vibao vipya na wasanii wengine.

Mejja anafahamika sana kwa nyimbo zake ambazo zimekuwa zikipendwa na mashabiki ake na wanamitandao.

Tarehe 18,Mei Mejja ametoa kibao ambacho kinafahamika kama 'Tabia za Wakenya' yaani 'Kaniro'.

NI kibao ambacho kinazungumzia tabia ambacho watu na wakazi wa Nairobi au wakenya wako nazo haswa karne hii ya sasa.

Pia kinazungumzia kuwa wakenya wanatabia za kipekee, huku lugha ya taifa ikiwa ni ya mtaa yaani ni 'Sheng'.

Katika kibao hicho msanii huyo anazungumzia watu watatu wa kuheshimiwa nchini kenya, je watu hao ni akina nani?Sikiza kwenye kibao utawatambua vyema.

Je kibao hicho kimeweza au la, hii hapa video ya kibao hicho;