logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Ninapokuona nahisi kubarikiwa-Ujumbe wa Zuchu kwa Diamond Platnumz

Zuchu amekuwa akipakia jumbe huku akimsifia bosi wake na kuzua hisia tofauti

image
na Radio Jambo

Burudani31 May 2022 - 11:30

Muhtasari


  • Zuchu amekuwa akipakia jumbe huku akimsifia bosi wake na kuzua hisia tofauti kati ya wanamitandao
Diamond Platnumz na Zuchu

Staa wa bongo Diamond Platnumz na msanii mwenzake Zuchu wamekuwa gumzo mitandaoni kwa muda sasa.

Hii ni baada ya fununu kuwa wawili hao wana uhusiano wa kimapenzi, uvumi ambao Zuchu aikana na kusema kwamba Diamond anamfahamu mpenzi wake.

Zuchu amekuwa akipakia jumbe huku akimsifia bosi wake na kuzua hisia tofauti kati ya wanamitandao.

ikendi iliyopita wawili hao walizua gumzo mitandaoni baada ya Diamond kumpakata Zuchu kwa njia ya kipekee huku wakiwatumbuiza mashabiki wao kwa kibao chao cha 'mtasubiri'.

Siku ya JUmatatu Zuchu aliwafurahisha mashabiki baada ya kumwambia Diamond kwamba anapomuona anahisi kubarikiwa.

Wengi walitamani kkwamba uhusiano wao na bosi wao ungekuwa kama ule wa Zuchu na Diamond.

"Ninapokuona,ninahisi kubarikiwa," Zuchu alimwambia Diamond.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved