Msanii Hamisa Mobetto ambaye pia ni mjasiriamali kutoka Taifa la Tanzania amunyakua mpenzi mpya,Hamisa amedokeza kuwa kwa sasa yuko katika uhusiano mpya baada ya uhusiano wao wa awali na mfMsanii Hamisa Mobetto ambaye pia ni mjasiriamali kutoka Taifa la Tanzania amunyakua mpenziMsanii Hamisa Mobetto ambaye pia ni mjasiriamali kutoka Taifa la Tanzania amunyakua mpenzi mpya,Hamisa amedokeza kuwa kwa sasa yuko katika uhusiano mpya baada ya uhusiano wao wa awali na mfMsanii Hamisa Mobetto ambaye pia ni mjasiriamali kutoka Taifa la Tanzania amunyakua mpenzi mpya,Hamisa amedokeza kuwa kwa sasa yuko katika uhusiano mpya baada ya uhusiano wao wa awali na mfanyabiashara maarufu Kevin Sowax kutibuka.
Akiandika kwa mtandao wake akimtambulisha mpenzi wake mpya ambaye ni Mtogo mwanasoka Stephane Aziz kwa mashaabiki wake.Alituma picha zilizoashiria mahaba na akakariri kuwa yeye ndiye shairi zuri amekuwa akiwazia kuliandika kumhusu.
Stephane Aziz ambaye ni mshambulizi kutoka Yanga alielezea hisia zake kwa Hamisa katika mtandao wake wa instagramu akiangika picha ya wao wawili akaandika katika lugha ya Kifaranza ''paix, Amou,bonheur'' ikitafsiriwa kama amani,upendo na furaha.
Hii inajiri tu baada ya Hamisi kuachana na mpenzi wake wa zamani sowax mwezi wa Mei,2024 baada ya uhusiano uliodumu kwa muda wa mwaka mmoja alisema kuwa yeye hana mpenzi kwa hivyo yeye hayuko katika uhusiano wowote akidai kuwa waliachana na mpenzi wake wa zamani kitambo (Kevin Sowax) vilevile kevin Sowax alielezea kuhusu kuvunjika kwa uhusiano wao katika mtandao ya kijamii 'usikimbize mambo ,wakati mwafaka ukiwadia mambo yatafanyika tu'.
Hamisa ambaye amekuwa katika macho ya umma aliwahi kuhusishwa kimahusiano na msanii Rick Ross kutoka Marekani.Uvumi ulikuwa ukienea mwaka wa 2021 na 2022 kuhusu Hamisa Mobetto na msani Rick Ross kimapenzi wote walikuwa mabalozi na walionekana kuwa kama wapenzi kwenye mitandao ya kijamii.
Msanii huyu wa Amerika alionekana mara kwa mara akisisema picha za Hamisa alizokuwa akiziangika mitandaoni huku akiashiria dalili za uhusiano kati ya hawa wawili hatimaye baada ya kipindi kirefu walipatana katika hafla moja Novemba 2021, walipoonana na kucheza densi kwa pamoja katika hafla moja katika klabu moja kule Dubai.
Baadaye Hamisi aliangika picha mitandaioni zilizowaonyesha wawili wao wakiwa katika hoteli moja huko Dubai hivyo basi kuchochea minong'ono na usemi wa watu kuwahusu wawili hao.''Huwa tuna ukaribu sana ila siwezi sema eti tuko katiika mahusiano sisi ni familia kubwa hatuko katika mahusiano bali ninajiimaarisha kujenga jina langu na kuhakikisha ninapata pesa Hamisa alidokeza''.
Hatimaye mwezi wa Machi, 2022 safari ya Hamisa Marekani iliibua maswali chungu nzima hii ni baada ya Rick Rose kumwita mpenzi katika mitandao ya kijamii jambo ambalo Hamisa alimrai Rick Rose kuwaelezea Watanzania kuhusu uhusiano wao ambao mashabiki walikuwa na uchu wa kujua kilichokuwa kikiendelea. Hamisa hatimaye alifanya utani akisema kuwa Rick Rose alipe mahari akisema kuwa mamake alikuwa akihitaji ng'ombe kama thamani ya mahari.