logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Muda ambao nahodha wa Chelsea Reece James ametumia kuuguza majeraha tangu 2021

Baada ya kupata jeraha lingine Novemba 21, beki huyo hatarajiwi kuonekana uwanjani tena hadi angalau mwaka ujao, kwa mujibu wa kocha Enzo Maresca.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Grafiki29 November 2024 - 16:40

Muhtasari


  • Baada ya kupata jeraha lingine Novemba 21, beki huyo hatarajiwi kuonekana uwanjani tena hadi angalau mwaka ujao, kwa mujibu wa kocha Enzo Maresca.
  • James amerudi mkekati ikiwa ni miezi michache baada ya kupona kufuatia upasuaji uliomweka mkekani kwa siku 151 kati ya Desemba 2023 na Mei 2024.