logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Hafla Kubwa Za Burudani Ambazo Zsimefanyika Nchini Kenya Msimu Huu Wa Sikukuu

Mwezi huu umeshuhudia wasanii wakubwa kama Koffi Olomide na Diamond Platnumz wakitua nchini Kenya kuwatumbuizia mashabiki wa kazi zao za Sanaa.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Grafiki17 December 2024 - 08:37

Muhtasari


  • Sanaa ya burudani nchini Kenya imeshuhudia hafla kubwa katika mwezi huu wa sikukuu katika Maeneo mbalimbali.
  • Mwezi huu umeshuhudia wasanii wakubwa kama Koffi Olomide na Diamond Platnumz wakitua nchini Kenya kuwatumbuizia mashabiki wa kazi zao za Sanaa.