logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Magwiji wa Harambee Stars walioshiriki mechi ya kumpa buriani Ezekiel Otuoma

Mechi hiyo ilifanyika katika uwanja wa ABSA wikendi iliyopita ambapo walichangisha hela za kusimamia mazishi ya Otuoma.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Grafiki07 January 2025 - 16:21

Muhtasari


  • Wachezaji wa zamani wa Harambee Stars waliongozwa na naibu rais wa shirikisho la FKF, McDonald Mariga na kaka yake Victor Wanyama.
  • Mechi hiyo ilifanyika katika uwanja wa ABSA wikendi iliyopita ambapo walichangisha hela za kusimamia mazishi ya Otuoma.