Wachezaji kama De Bruyne, Ronaldo, Salaha, Van Dijk,
Trent Anorld ni miongoni mwa majina kubwa ambao wamesalia na miezi 5 tu katika
mikataba na vilabu vyao.
Klabu ya Liverpool inaongoza kwa kuwa na wachezaji 3
wenye tajriba ya hali ya juu ambao huenda wakaondoka kwa senti sifuri mwishoni mwa msimu huu.