Watu Mashuhuri Ambao Mwanawe Museveni Anawaona Kama Mifano Bora Kwake
Pia aliwataja wanamapinduzi wa kikomnisti kutoka nchini Cuba, Fidel Castrol, Che Guevara na Camilo Cienfuegos kama mifano bora ya kuongoza maisha yake.
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, mwanawe rais Museveni
ndiye pia mkuu wa majeshi ya Uganda, UPDF.
Muhoozi aliorodhesha watu 9 ambao anawaona kama
mifano bora akiwemo babake, na pia rais wa taifa jirani la Rwanda, Paul Kagame.
Pia aliwataja wanamapinduzi wa kikomnisti kutoka nchini
Cuba, Fidel Castrol, Che Guevara na Camilo Cienfuegos kama mifano bora ya
kuongoza maisha yake.