logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Maamuzi Ya VAR Ambayo Bodi Ya Marefa Imekubali Ni Makosa Tangu Msimu Kuanza

Bodi ya Marefa, PGMOL imekiri kwamba zaidi ya maamuzi 10 ya VAR kwenye mechi za Premia yalifanyika kimakosa kupelekea refa kutoa kadi nyekundu, kutoa penalti au timu kunyimwa penalti.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Grafiki29 January 2025 - 15:34

Muhtasari


  • Bodi ya Marefa, PGMOL imekiri kwamba zaidi ya maamuzi 10 ya VAR kwenye mechi za Premia yalifanyika kimakosa kupelekea refa kutoa kadi nyekundu, kutoa penalti au timu kunyimwa penalti.
  •  Maamuzi ya hivi karibuni ambayo yamebatilishwa ni kadi nyekundu aliyoonyeshwa beki kinda wa Arsenal, Lewis-Skelly wikendi iliyopita.



RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved