logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mataifa ya Afrika Ambayo Yamewahi Kutoa Wachezaji Wengi Kucheza EPL

Ni mchezaji mmoja tu Mkenya aliyewahi kucheza kwenye EPL (Victor Wanyama, 2013-2019)

image
na Samuel Mainajournalist

Grafiki30 January 2025 - 14:26

Muhtasari


  • Mshambulizi Omar Marmoush kutoka Misri ndiye mchezaji Mwafrika wa hivi punde kujiunga na EPL.
  • Nigeria na Senegal ndizo zimewahi kupeleka wachezaji wengi katika EPL.