Soma hapa:
Katika chapisho la idara ya DCI katika mtandao wa Facebook jana ijumaa, kiongozi huyu atashtakiwa na kosa la ulanguzi wa dawa za kulevya.
Soma hapa :
"Mwakilishi wa wodi ya Ngei Redson Otieno Onyango leo jioni amekamatwa na makachero kufuatia kupatikana na dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa JKIA Aprili 19,2019. Atashkiwa na kosa la la kulangua dawa za kulevya." DCI
Hadithi imehaririwa na kutafsiriwa na Abraham Kivuva





© Radio Jambo 2024. All rights reserved