logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Maskini Itumbi!Tazama ujumbe wake Itumbi kwa Maribe na Omondi

Maskini Itumbi!Tazama ujumbe wake Itumbi kwa Maribe na Omondi

image
na

Habari02 October 2020 - 10:28
Dennis Itumbi ambaye ni rafiki yake Jacque Maribe wa dhati  aliandika ujumbe mtamu kwenye mtandao wa kijamii akiwapongeza wazazi wake Zahara,bwana Eric Omondi na Jacque Maribe.

Ujumbe huu uliandikwa pindi tu baada ya Jacque kutangaza baba ya mtoto wake kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.

Wazazi hawa wenye mtoto wa miaka tano walihudhuria sherehe ya kuhitumu kwa mtoto wao na kisha baadae Dennis kuandika;

 ''CONGRATULATIONS – THE OMONDI’S.

ZAHARI’S GRADUATION IS A GREAT STATEMENT OF YOUR SOLID GUIDANCE.

MAY YOUR BOND LAST FOR AN ETERNITY AND MORE.

TO BOTH OF YOU MY FRIENDS, GOD’S BLESSINGS!

BISHOP NA PIA PRESIDENT WALISEMA, “WANAOSEMA, WACHA WASEME!

AU SIO?’  Dennis aliandika.

Jacque Maribe na Itumbi ni marafiki tu ingawa watu wengi hudhani kuwa wawili hawa ni wapenzi.

Maribe na Itumbi wamefunguka wazi wazi zaidi ya mara moja kuwaambia watu kuwa wao  ni marafiki tu na wala hawana uhusiano wowote wa kimapenzi.

Hata hivyo,Itumbi alipoandika ujumbe wa kuwapongeza Omondi na Maribe,mashabiki wengi walitoa maoni tofauti tofauti wengi wao wakimcheka Dennis.

Tazama orodha ya maoni ya mashabiki wake Dennis Itumbi

Ochieng Otieno Lakini wewe huwa loser, I would die a sad man if I had a son like you. From Jowie and Now Eric Omondi Boy you can’t keep losing like this

Njeru Nanja I take this to mean that you Dennis Itumbi, today 17/10/2019, have endorsed the marriage between Erick Omondi and Jacky Maribe and subsequently confirmed that indeed one Zahari is a child born of that union. I’m I right?

shikooh_phridah I like u denno, u r a real friend😘

cherrie_bunch I know you’re having a bad day. Mwanaume ni kumove on. Now take care of your child. Your baby mom doesn’t have to fight u in court. Be a gentleman. Take responsibility baba be a present father

kalekachali Inauma but, itabidi uzoee


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved