logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Afunguka A-Z faida ya biashara ya kuuza viungo vya mwili vya wanawake

Afunguka A-Z faida ya biashara ya kuuza viungo vya mwili vya wanawake

image
na

Habari02 October 2020 - 04:36
Melons-696x696
Jamaa amefunguka A-Z jinsi alivyohusika katika biashara chafu ya kuuza viungo vya mwili vya wanawake.

Biashara ya dogo huyu ilikuwa ya kuuza matiti peke yake.

Idea au dili hii ya kibiashara ilitokana na rafiki yake aliyekuwa na msimamo kuwa lazima watafute utajiri wa haraka haraka.

Kilichomvutia katika biashara hii ni kuwa dili ilikaa freshi na ingewatengenezea kima cha laki moja pindi wanapouza.

Jamaa huyu ambaye tunampa jina la msimbo kama John asimulia.
"Tuliitwa sehemu town ila siwezi kuimbuka kwa sasa kwani walitulewesha kabisa tukawa hatujiskii. Kwa kisu wakatukata na tukapewa damu tukakunywa. Hii ilikuwa oath ya kuingia katika biashara ya kuuza sehemu hizi za mwili..."
"Tulikuwa tunaenda mtaani EastLeigh kununua dawa aina ya Flexture ya kuwafanya wanawake wapoteze fahamu ndio tukate sehemu zao za siri..."

"Tuliruhusiwa kukata titi moja la upande wa kulia ili asifariki..."

"Kitita cha pesa kilitegemea ukubwa wa titi. Doh ilikuwa kati ya 25,000- 80,000..."

Hatimaye maafisa wa polisi waliwashika na kuwafunga jela.

"Wakati story zilisambaa tukaanza kutembelea maeneo ya ajali. Kuna time pia tungefanya order katika mortuary ya Kenyatta. Wakati polisi walijua tukashikwa tukafungwa."


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved