Baadhi ya watoto hao ni kama,
Ladasha Belle
Ni mwanawe Size 8 na DJ Mo ambaye baada ya shida mama yake alipitia alipokuwa anajifungua, alipata mrembo wa kupigiwa mfano na wengi.
Heaven Bahati
Anafahamika sana kwa urembo wake na hata katika mtandao wa kijamii kwa picha zake.
Ethan Huru Ndichu
Ni kijana wa mwanahabari Janet mbugua ambaye anajulikana kwa umbali kwa sababu ya uzuri wake na hata urembo wake.
Ethan alisherehekea siku yake ya kuzaliwa Octoba,29 mwaka jana huku akisherehea mwaka mmoja.
Zawadi na Raha
Ni mapacha wa Grace Msalame, wamekuwa kwa haraka sana baba yao ni nduguye mumewe Janet mbugua.
Nyakio Mathenge
Ni wasanii ambao wamebarikiwa na mrembo wa wote, wasanii hao ni Nameless na Wahu.
Wanawe DJ Soxxy
Amebarikiwa na watoto wawili ambao urembo wao hauna wengi. Soxxy ambaye ni Dj wa nyimbo za injili yeye na mkewe wamebarikiwa kweli.
Mwanawe Octopizzo
Ni msichana ambaye urembo wake ulionekana akiwa mchanga sana.
Wanawe massawe Japanni
Si ajabu tu mrembo wa mama ulienda kwa wanawe , mwanahabari huyo amekuwa akisherehekea urembo wa wanawe kila mara.