Dorea Dashil, anayefahamika na wengi kama Magie katika kipindi cha Maria anawatoa wanaume mate ya mahaba baada ya kuweka picha zake kwenye mitandao ya kijamii.
Katika kipindi hicho cha Maria, Magie anaigiza kama mtoto maskini na anayehitaji usaidizi. Jambo wasilojua watu wengi ni kuwa kidosho huyo amebarikiwa sura ya dola ama pesa.
Hapa ni picha za Magie.
Usemi usemwe ,huyu mtoto alibarikiwa maumbile kweli,kizuri kipe kongole.
MHARIRI: DAVIS OJIAMBO
