Mbosso amesema amelazimika kuziacha show kadhaa na kwa jumla angelipwa kati ya shilingi milioni 80 na 100 za Tanzania endapo angezipisha show hizo .
Nilikuwa na show kadhaa za kupiga na pia nilifaa kufanya ziara ya kwenda ufaransa . yote haya yalifaa kufanyika mwezi aprili lakini sasa hakuna njia nyingine vitu vimesimama
Diamond awali pia amedai kwamba amepoteza takriban shilingi bilioni 3 za Tanzania ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 100 za Kenya .