logo

NOW ON AIR

Listen in Live

‘Liwe funzo kwako na wengine kama wewe’ Jamaa alivyoteswa na ‘mwanamke wa raha’

Wakati wanapoingia chumbani ili kumaliza ammbo yao basi yile mwanamke alitega simu yenye kamera pembeni na ilichukua picha  ya video nzima kuhusu  mchuano wao huo .

image
na Yusuf Juma

Habari03 February 2021 - 06:35

Muhtasari


  • Wakati wanapoingia chumbani ili kumaliza ammbo yao basi yile mwanamke alitega simu yenye kamera pembeni na ilichukua picha  ya video nzima kuhusu  mchuano wao huo .
  • Jamaa alikuwa kalewa kidogo kwa hivyo hakuelewa kilichofanyika.

Kuna mambo unayoyafanya  ambayo unafaa ujue yakitoka nje basi yatakumaliza . Ndio funzo alilopata jamaa mmoja katika aliyekwenda kupata huduma za ngono kwa kahaba mmoja huko  Ukunda .Pasi na kujua kwamba dunia hii ina pwagu na pwaguzi basi siku hiyo naye alipata jibu lake .

Baada ya kutosheleza hamu zake ,kwa sababu ya chezo chake na  kiburi tu jamaa alikataa kumlipa yule  hawara kwa huduma zake na kumpa raha .  jambo ambalo  hakufahamu ni kwamba wakati wote ule kila  utamu wake yule mwanamke ana uzoefu mkubwa sana na alijua taiga mwanzo kwamba jamaa huyo angempa matatizo ya kulipa.

Wakati wanapoingia chumbani ili kumaliza ammbo yao basi yile mwanamke alitega simu yenye kamera pembeni na ilichukua picha  ya video nzima kuhusu  mchuano wao huo . Jamaa alikuwa kalewa kidogo kwa hivyo hakuelewa kilichofanyika. Baada ya  kumalizana basi mwanadada akasema apewe hela zake kila mtu ashike njia ya kwenda zake . Alipoulizwa na jamaa kwamba  alitaka shilingi kambi ,kahaba alimpa bei yake ya usiu mzima – shilingi elfu 7!

 

Mteja hakuamini kwamba yule mwanadada kwa kweli alikuwa serious kabisa yuataka shilingi elfu saba na akaanza kuzua uzushi akisema pesa hizo ni nyingi sana kumpa mtu kwa usiku mmoja alimpa  shilingi elfu mbili na kuanza safari kwenda zake . kahaba alimbania amemkatalia shati alfajiri hiyo watu wanaotoka kwenye vyumba vyao wakashangaa sarakasi ilikuwa ya nini tena mapema hiyo . Basi mwishowe wakakubaliana kwamba ampe nambari yake ya simu amtumie pesa kupitia huduma ya malipo ya simu . Jamaa alipoachiwa ,na kiburi chake hakulipa .siku moja ikasiaha ya pili na ya tatu .

Siku ya nne  ilipofika mwanadada aliamua kutoa silaha yake na kwenye whatsapp akamtumia sehemu tu ya video yake akiwa juu yake wakati wakila uroda . Maskini kalameni alikimbia kuja kwenye lile danguro  kumlipa yule mwanadada . Sasasa mambo yakawa ni mwindaji kawindwa sasa . Kahaba yule hakutaka tena shilingi lefu 5 zilizosaliua bali sasa alitaka shilingi elfu 20 ili aifute video ile na kufanya mambo kuwa mabaya Zaidi alitishia kuiweka wkenye mitandao ya kijamii video nzima hiyo .

Jibaba lilipotafakari kuhusu picha yake akiwa uchi wa mnyama na akitokwa jasho juu ya shughuli zake huku sura yake ikitambulika kwa urahisi na wanaomjua halikuwa  na budi ila kutoa hizo shilingi elfu 20 bila pingamizi! Utayajua mambo ,ngoma ya kuanikwa ina sogora pembeni

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved