Huenda wewe ni mwanachama rasmi wa chama fulani cha kisiasa nchini na huna fahamu!
Wakenya wengi wameendelea kueleza ghadhabu yao baada ya kugundua kuwa wamesajiliwa katika vyama vya kisaisa bila idhini.
Imeibuka kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya kisiasa imekuwa ikiwasajili Wakenya kwenye vyama tofauti vya kisiasa bila idhini yao.
Kati ya vyama ambavyo wengi wameandikishwa ni pamoja na cha Jubilee, ODM na Amani National Congress.
Wakenya wengi wameeleza mshangao wao baada ya kuingia kwenye tovuti rasmi ya huduma za umma (orpp.ecitizen.go.ke ) na kupata kuwa wamesajiliwa kama wanachama wa chama fulani cha kisiasa.
Wengi wameeleza ghadhabu yao kupitia mitandao ya kijamii. Hizi hapa baadhi ya hisia za Wakenya
Umejipata wapi kwa hio portal? Uko Jibilee ama ODM. Why are people placed in Political Parties they never registered in? 馃
— BRAVIN YURI (@BravinYuri) June 18, 2021
.@ORPPKenya needs to explain how Kenyans are finding themselves registered as members of political parties without having not enrolled. #DataProtection??!!!
— Oliver Mathenge (@OliverMathenge) June 18, 2021
It is also worth noting that all the registrations appear to have been done in 2017.
In an ideal world, the Office of the Data Protection Commissioner would fine all these political parties for illegal use of personal data to register people to their parties. Then Registrar of Political parties would deregister the parties for fraudulent party registers
— Ol茅 (@Olez) June 18, 2021
According to the Registrar of Political Parties (@ORPPKenya), I am a registered member of ANC. Eeerm, since when? Why? How? @anc_party how did I get on your membership roll and how do I get out? pic.twitter.com/KqcD53OBEH
— E. Chenze (@echenze) June 18, 2021
The office of the Registrar of Political Parties literally did ethnic profiling. They matched your name with a party that leans your ethnicity. Should be illegal and I hope someone takes that office to court.
— 袦袨小袣袨校袡笑 (who/whom)馃崅 (@iFortknox) June 18, 2021
Jua chama ulichosajiliwa kwa kuingia kwenye tovuti ya (orpp.ecitizen.go.ke)
