Visa vya wanaume kuwalea watoto ambao sio wao,sio visa vya hii majuzi au kuigiza tu kwenye filamu.
Wengi wamejipata kwenye hali hiyo, huku wengi wao wakiacha ndoa zao baada ya kugundua kuwa watoto ambao amekuwa akiwalea sio wake.
Pia kuna wale huchukua hatua ya kuwatelekeza watoto hao, kwa madai kuwa sio damu yao.
Asimilia kubwa wamwjitokeza na kuunga mkono hatua ya kuwafanyia watoto wa DNA ili kuhakikisha ni wao.
Huko Nigeria mwanaume mmoja amewaacha wanamitandao na mshangao baada ya kumng'oa mke wake meno matatu ya mbele baada ya kugundua kuwa watoto watatu aliozaa naye sio wa kwake.
Baadhi ya wanamitandao walimuunga mkono kwa kitendo chake huku wengine wakikashifu kitendo hicho.
Haya hapa baadhi ya maoni ya wanamitandao;
supreme__tz: I'm not saying he is right, but I understand π
maziku_classic: hii inaitwa one child one teeth πππ
dettyally: Kwani yeye kwenda kuza injee yandowa na kuleta damu siyo yamwanamume alikuwa anafikiri nistarehe anampa mumewe?amemuumiza moyo na kiyakili maishayake yote bila kutumiya ganzi.hana huruma huyo mwanamke ulete wakwanza wapili, na watatu kweli?hapo katili nani sasa.
jerrymlacha: Jamaa mstaarabu sana apewe tuzo
traves.johnson: Yes n ukatil...lakin ushafikilia mwanaume amaewekeza nn kwa hao watoto ambao sio wake???..nda aliopoteza kujua teyar ana majembe matatu kumbe yote sio yake??..unakuta mwanaume kashakua mtu mzima teyar..umri umeenda na anajua anawatoto wake watu...hlf baada ya miaka mingi unakuja kungundua watoto sio wako hlf kuna li baba mtu linakucheka tu huko unalea watoto wake....yaan mm naona huyu mwanaume ndiy kafanyiwa ukatili mkubwa sana