logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mwalimu kutoka Embu ajiua kwa sababu ya kukatiliwa na mpenzi wake

<ul> <li>"Niliamua tu kuchukua maisha yangu ili nipumzike kwa amani. Nimejaribu kila kitu iwezakanavyo lakini yote yalikua bure"</li> <li>Barua hiyo pia inaeleza kuwa mwalimu huyo alijaribu kuongea na marafiki wake 17 kuhusu uhusiano wake na mwanadada huyo. Anaendeleza kuwa kwa hao wote alijaribu kuongelesha hakuna ambaye aliweza kumsikiza au kumpa mawaidha.</li> </ul>

image
na Davis Ojiambo

Habari08 February 2024 - 08:46

Muhtasari


  • "Niliamua tu kuchukua maisha yangu ili nipumzike kwa amani. Nimejaribu kila kitu iwezakanavyo lakini yote yalikua bure"
  • Barua hiyo pia inaeleza kuwa mwalimu huyo alijaribu kuongea na marafiki wake 17 kuhusu uhusiano wake na mwanadada huyo. Anaendeleza kuwa kwa hao wote alijaribu kuongelesha hakuna ambaye aliweza kumsikiza au kumpa mawaidha.

Mwalimu kutoka Embu ajiuwa kwa kuwa alikataliwa na mpenzi wake. Kwa noti ambayo aliandika, alieleza kuwa hakuweza fikiria kuishi maisha yake kuona mpenzi wake kupendana na mwanaume mwengine hivyo alifanya uamuzi wa kuchukua maisha yake.

Mwalimu huyo kwa zaidi alisema kua azikwe siku ya valentines Februari 14 kwa Kavenpero  kwa Ithapu, na mpenzi wake aliyemkata kusoma eulogy yake.

"Niliamua tu kuchukua maisha yangu ili nipumzike kwa amani. Nimejaribu kila kitu iwezakanavyo lakini yote yalikua bure"

Barua yake iliendeleza kuwa familia yake ichunguze kama ako na watoto wowote nje na kama kunayo, mali zake zote zigawanywe kwa hao watoto.

Maandalizi ya mazishi hiyo iliwachwa kwa wanafamilia wawili wa bunge la county ambao walipewa maagizo madhubuti kuhakikisha kuwa  picha amabyo aliacha nyuma itumike kama sehemu ya programu.

Barua hiyo pia ilieleza kuwa mwalimu huyo alijaribu kuongea na marafiki wake 17 kuhusu uhusiano wake na mwanadada huyo. Anaendeleza kuwa kwa hao wote alijaribu kuongelesha hakuna ambaye aliweza kumsikiza au kumpa mawaidha.

"I may look stupid but i have shared my stress with 17 people, none talked to me . Let's meet in heaven".

Oga Obinna alitoa  maoni yake kuhusu jambo hili na kusema kuwa;

" Lost another man coz NOBODY CARED to listen, and those who listened never cared TO BE WITH HIM THROUGH WHATEVER SITUATION. Men when will we speak out and stop laughing at each other when they confide in us about their EMOTIONAL OR FINANCIAL situations?? #menalsocry#menalsobleed#menarealsohuman#wawec loading...#foma loading.." 

 

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved