logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Arne Slot: Mfahamu kocha mpya wa Liverpool ambaye amerithi nafasi ya Jurgen Klopp

Slot mwenye umri wa miaka 45 anachukua nafasi ya Klopp wa miaka 56.

image
na Davis Ojiambo

Habari21 May 2024 - 09:56

Muhtasari


  • • Slot amekuwa mkufunzi wa Feyenoord ambao aliwasaidia kufika kwenye fainali ya Europa Conference miaka miwili iliyopita na kupoteza dhidi ya Roma.
  • • Mwaka jana, aliisaidia Feyenoord kushinda taji la Erdivise la ligi kuu ya Uholanzi.
Mfahamu kocha mpya wa Liverpool

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved