logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Baadhi ya mashirika ya serikali ambayo hayajahamia jukwaa la malipo la E-Citizen

Rais Ruto ametishia kuwachukulia hatua wakurugenzi wa mashirika ambayo hayajahamisha malipo kwa e-Citizen

image
na Davis Ojiambo

Habari29 November 2024 - 14:51

Muhtasari


  • Mashirika yakiwemo Kenya Power,  Mamlaka ya bandari nchini, EPRA, IPOA  ni miongoni mwa yale ambayo yamepewa onyo. 
  • Rais Ruto aliagiza kuwa malipo yoyote ya huduma za serikali na yale ya mashirika ya serikali yafanywe kupitia jukwaa la E-Citizen.