logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Jopo La Wanachama 9 Watakaosimamia Mchakato Wa Kuteua Makamishna Wa IEBC

Baadae, waliapishwa na kutwikwa majukumu ya kusimamia mchakato wa kuwateua makamishna wa tume ya uchaguzi na mipaka IEBC.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Habari28 January 2025 - 09:06

Muhtasari


  • Rais Ruto alitangaza majina ya wanachama hao Alfajiri ya Januari 27 na kuchapishwa rasmi kwenye gazeti la serikali.
  • Baadae, waliapishwa na kutwikwa majukumu ya kusimamia mchakato wa kuwateua makamishna wa tume ya uchaguzi na mipaka IEBC.
  • Tume ya IEBC imesalia bila makamishna tangu mwishoni mwa 2022 wakati muda wa kuhudumu kwa makamishna wa zamani ulipokamilika.



RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved