NOW ON AIR
Matiang'i alipata shahada za uzamili (Masters) na uzamifu (PHD) kutoka chuo cha Nairobi.
Muhtasari
• Alihudumu katika wizara mbali mbali chini ya uongozi wa rais mustaafu Uhuru Kenyatta, tangia mwaka 2013.
• Alihudumu kama waziri wa Habari na Mawasiliano – (2013 – 2015), waziri wa Elimu – (2015 – 2018) na Waziri wa mambo ya ndani – (2018 – 2022).
Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7