logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Wafahamu washindi wa tuzo za PFA msimu wa 2022/23

Hafla ya tuzo za PFA ilifanyika katika ukumbi wa Lowry Theatre mjini Manchester, Uingereza mnamo Agosti 29 usiku.

image
na Radio Jambo

Habari30 August 2023 - 12:59

Muhtasari


•Mshambulizi Erling Haaland anayechezea klabu ya Manchester City alishinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa PFA.

•Bukayo Saka wa Arsenal alishinda tuzo la Mchezaji Chipukizi Bora wa Mwaka wa PFA baada ya kufunga mabao 14 na kutoa asisti 11 katika msimu uliopita


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved