logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Tazama matukio muhimu katika ndoa ya Akothee na 'Omosh' tangu wafanye harusi

Tunakutembeza katika safari ya ndoa ya Akothee na Bw Shweizer tukiangazia matukio makuu tangu harusi yao Aprili.

image
na Samuel Maina

Habari03 October 2023 - 14:55

Muhtasari


  • •Matendo ya hivi majuzi ya Akothee kwenye mitandao ya kijamii yamewaacha wanamitandao  wakikisia huenda kuna tatizokwenye ndoa yake na Denis ‘Omosh’ Shweizer.
Matukio makubwa katika ndoa ya Akothee tangu harusi.

Mwanamuziki na mjasiriamali mashuhuri Esther Akoth almaarufu Akothee amekuwa akivuma katika kipindi cha siku mbili zilizopita baada ya kufunguka kuhusu masaibu yake vya kisaikolojia ambayo yalianza baada ya tukio ambalo hakufichua.

Baadhi ya matendo yake ya hivi majuzi kwenye mitandao ya kijamii yamewaacha wanamitandao Wakenya wakizungumza na kukisia kuwa huenda kuna tatizo fulani kwenye ndoa yake na Denis ‘Omosh’ Shweizer.

 Mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 43 hata hivyo bado hajathibitisha au kukanusha tetesi za ndoa yake kuvunjika. Katika grafiki ya leo, tunakutembeza katika safari ya ndoa ya mwimbaji huyo na Bw Shweizer tukiangazia matukio makuu tangu harusi yao Aprili mwaka huu hadi matukio ya hivi majuzi.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved