NOW ON AIR
Notisi ya gazeti la serikali ilidokeza kuongezeka kwa ada kwa stakabadhi kadhaa za serikali.
Muhtasari
•Notisi ya gazeti la serikali iliyochapishwa hivi majuzi na Waziri wa Mambo ya Ndani Kindiki Kithure ilidokeza kuongezeka kwa ada kwa stakabadhi kadhaa za serikali.
•Alhamisi, Mahakama ilitoa maagizo ya kusitisha utekelezwaji wa ada mpya kwa stakabadhi kadhaa za serikali ambazo zilitangazwa kwenye gazeti la serikali siku chache zilizopita.
Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7