Omondi alipata umaarufu kupitia Churchill Show kipindi hicho ikipeperushwa kwenye runinga ya NTV kabla ya kupata shoo yake mwenyewe ya uchekeshaji kwenye runinga ya KTN.
Muhtasari
• Alifariki wikendi iliyopita baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani majira ya alfajiri.