Wanasoka waliovutia umati mkubwa wa mashabiki wakati wa utambulisho kwenye klabu mpya

Mbappe alitambulishwa Jumanne wiki hii uwanjani Santiago Bernabau mbele ya mashabiki 80, na kupiku rekodi ya Cristiano Ronaldo aliyetambulishwa uwanjani humo mwaka 2009 mbele ya mashabiki 80k.

Muhtasari

• Kwa jumla, vilabu vikuu vya Uhispania, Barcelona na Real Madrid ndivyo vilivyoshuhudiwa umati mkubwa wakati wa kutambulisha wachezaji wao wapya.

Wanasoka waliovutia umati mkubwa wakati wa utambulisho wao.
Wanasoka waliovutia umati mkubwa wakati wa utambulisho wao.