Marais wa Marekani walioongoza kwa muhula mmoja tu kati ya 1900 na 2024

Biden amejiondoa kutoka kwa kinyang'anyiro cha kutetea wadhifa wake baada ya Wademokrati kuonyesha wasiwasi kuhusu umri wake ambao umekwenda.

Muhtasari

• Rais wa awamu ya 46, Joe Biden ameingia katika orodha hiyo baada ya hivi majuzi kutangaza kuwa hatowania muhula mwingine baada ya kuongoza tangu 2020. 

Marais wa USA walioongoza kwa muhula mmoja tu
Marais wa USA walioongoza kwa muhula mmoja tu
Image: HILLARY BETT