Mfahamu John Mbadi ambaye anapendekezwa kuwa waziri wa fedha

Mbadi ambaye ndiye mwenyekiti wa ODM amekuwa mbunge kutoka mwaka wa 2008 hadi sasa.

Muhtasari

• Alisomea shule ya msingi ya Ligongo (1979 – 1986) Shule ya upili ya Koruro (1987 – 1990).

• Mbadi ana Shahada ya digrii  na Shahada ya uzamili ya usimamizi wa biashara zote kutoka Chuo Kikuu Cha Nairobi.