Orodha ya majina ya vyama vinavyohusiana na Gen-Z yaliyokataliwa na msajili wa vyama vya kisiasa

Ofisi ya Msajili wa Vyama imesema majina hayo hayaendelezi ushirikishwaji, hivyo basi ni kinyume cha katiba.

Muhtasari

•Walioandikisha majina hayo kwa msajili wa vyama vya kisiasa walitaka yahifadhiwe kwa ajili ya kuunda chama katika siku zijazo.

ya vyama vinavyohusiana na Gen-z yaliyokataliwa na Msajili wa vyama vya kisiasa
Majina ya vyama vinavyohusiana na Gen-z yaliyokataliwa na Msajili wa vyama vya kisiasa
Image: WILLIAM WANYOIKE