Tazama baadhi ya Wakenya Mashuhuri ambao wamepoteza watoto miaka ya hivi majuzi

Baadhi ya Wakenya mashuhuri wameomboleza watoto wao katika miaka michache iliyopita.

Muhtasari

•Muigizaji Moraa Nyaboke ndiye msanii wa Kenya wa hivi punde kupoteza mtoto. Bintiye aliaga dunia mnamo Jumapili, Julai 28.

mashuhuri ambao wamepoteza watoto miaka ya hivi majuzi.,
Wakenya mashuhuri ambao wamepoteza watoto miaka ya hivi majuzi.,
Image: ROSA MUMANYI