Katika taarifa ya Alhamisi rais alimpandishi ngazi aliyekuwa katibu wa kudumu wa wizara ya utumishi wa umma Amos Gathecha hadi naibu mkuu wa utumishi wa umma.
Mabadiliko mengine ni kama ifuatavyo:
Prof. Edwad Kisiang'ani ameteulia kama mshauri mkuu wa rais katika maswala ya uchumi.
Dkt. Jane Kare Imbunya ameteuliwa katibu wa kudumu wa wizara ya utumishi wa umaa
Regina Akoth Ombam - wizara ya biashara, viwanda na uwekezaji9.
Cyrell Wagunda Odede - amepelekwa kwenye wizara ya fedha.
Dr Croline Wanjiru- Wizara wa jumuia ya Afrika Mashariki.
Dr Fredrick Oluga Ouma - atakuwa kwenye wizara ya afya.
Ahmed ibrahim ameteuliwa kufanya kazi kwenye ofisi ya mkuu wa mawaziri
Judith Naiyai Pareno - Wizara ya haki sheria na katiba.
Dr Bonface Makokha - anafanya kazi chini ya Wizara ya fedha.
Prof Abduirazak Shaukat katibu wa kudumu wizara ya elimu.
Stephine Isaboke Katibu wa kudumu wizara ya habari na mawasiliano.
Michael Lenasalon atafanya katika ofisi ya Naibu wa rais.
Fikirini Katoi Kahindi katibu wa kudumu kwenye wizara ya michezo na sana.
CPA Karen Ageng'o Achieng kaibu katika wizara ya wafanyikazi na uingiliano.
Alfred Ombudo Naibu wa Ubalozi wa Brussels Beligium.
Geofry Eyanae Kaituko - Naibu wa ubalozi Rome itally.
Elija Mwangi atakuwa kwenye wizara ya michezo na sanaa.
Dr Belio Kipsang Katibu wa kudumu kwenye wizara ya usalama wa ndani.
Susan Nakhumicha Wafula atakuwa Mwakilishi wa kudumu katika umoja wa mataifa makao makuu ni Nairobi.
James Muhati atakuwa kwenye ubalozi wa Kenya nchini China.
Abdi Dubat Fidhow atakuwa Arusha Kwenye muungano wa Tanzania.
Eng Peter Tum atakuwa Balozi wa Kenya huko Kinshaza huko Jmuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Aden Abdi Millah atakuwa katibu wa kudumu kwenye wizara ya madini na uchumi wa majini.
Prof Julias Bitok amepelekwa kwenye wizara ya elimu kama katibu wa kudumu.
Teresia Mbaika kaatibu wa kudumu katika wizara ya barabara na usafiri.
Ismael Madey atakuwa katibu wa kudumu katika wizara ya utumishi wa umaa.
Harry Kimtai kaibu wa kudumu katika wizara ya madini.