logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani afariki akiwa na umri wa miaka 116

Tomiko Itooka alifariki katika makazi ya wazee katika jiji la Ashiya, Mkoa wa Hyogo.

image
na BBC NEWS

Kimataifa05 January 2025 - 15:15

Muhtasari


  • Tomiko alikuwa mtu mzee zaidi ulimwenguni baada ya Maria Branyas Morera wa Uhispania kufariki mnamo Agosti 2024 akiwa na umri wa miaka 117.