logo

NOW ON AIR

Listen in Live

DRC: Waandamanaji wauchoma ubalozi wa Ufaransa

Walivamia mitaa, kuzuia matembezi na mizunguko , na kuchoma matairi barabarani.

image
na BBC NEWS

Kimataifa28 January 2025 - 15:49

Muhtasari


  • Moshi ulionekana ukifuka hewani wakati sehemu za ubalozi huo zilipokuwa zikiwaka moto.


Waandamanaji katika mji mkuu wa DRC Kinshasa wamechoma moto sehemu za ubalozi wa Ufaransa, huku wakiendelea kuonyesha kutoridhishwa na mashambulizi ya kundi la M23 mjini Goma.

Walivamia mitaa, kuzuia matembezi na mizunguko , na kuchoma matairi barabarani.

Moshi ulionekana ukifuka hewani wakati sehemu za ubalozi huo zilipokuwa zikiwaka moto.

Siku ya Jumatatu, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean-Noel Barrot alielezea mshikamano wa Ufaransa na DRC na uadilifu wake wa eneo "wakati Goma inajiandaa kuangukia."mikononi mwa waasi.Amewataka M23 kuacha mashambulizi yake.



RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved