Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina ilihitimishwa Jumapili, ikimaliza zaidi ya wiki mbili za mashindano yaliyofanyika katika njia za barafu na miteremko ya milima ya Alps. Wanariadha walifuatilia ndoto zao kwa ujasiri na ustadi, wakiandika sura mpya katika historia ya Olimpiki.
Picha hii iliyopigwa Feb. 22, 2026 inaonesha sherehe ya kufunga Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 katika Uwanja wa Olimpiki wa Verona, Verona, Italia. (Xinhua/Li Ming)
↑Watu wapiga picha mbele ya mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 mjini Milan, Italia, Feb. 22, 2026. (Xinhua/Wu Wei)
↑Su Yiming, mbeba bendera wa ujumbe wa China, akipita katika gwaride wakati wa sherehe ya kufunga Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 katika Uwanja wa Olimpiki wa Verona, Italia, Feb. 22, 2026. (Xinhua/Li Ming)
↑Msanii akitumbuiza wakati wa sherehe ya kufunga Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 mjini Verona, Italia, Feb. 22, 2026. (Xinhua/Li Ming)
↑Wasanii wakitumbuiza wakati wa sherehe ya kufunga Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 katika Uwanja wa Olimpiki wa Verona, Italia, Feb. 22, 2026. (Xinhua/Xue Yuge)
↑Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) Kirsty Coventry akihutubia sherehe ya kufunga Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 katika Uwanja wa Olimpiki wa Verona, Italia, Feb. 22, 2026. (Xinhua/Li Jing)
↑Picha hii iliyopigwa Feb. 22, 2026 inaonesha makabidhiano ya bendera ya Olimpiki wakati wa sherehe ya kufunga Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 katika Uwanja wa Olimpiki wa Verona, Italia. (Xinhua/Li Jing)
↑Picha hii iliyopigwa Feb. 22, 2026 inaonesha mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 mjini Milan, Italia. (Xinhua/Wu Wei)
↑Picha hii iliyopigwa Feb. 22, 2026 inaonesha bendera ya Olimpiki na bendera ya taifa ya Italia wakati wa sherehe ya kufunga Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 katika Uwanja wa Olimpiki wa Verona, Italia. (Xinhua/Li Jing)
↑Picha hii iliyopigwa Feb. 22, 2026 inaonesha Pete za Olimpiki wakati wa sherehe ya kufunga Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 katika Uwanja wa Olimpiki wa Verona, Italia. (Xinhua/Li Ming)
↑Picha hii iliyopigwa Feb. 22, 2026 inaonesha sherehe ya kufunga Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 katika Uwanja wa Olimpiki wa Verona, Italia. (Xinhua/Xue Yuge)
↑Picha hii iliyopigwa Feb. 22, 2026 inaonesha sherehe ya kufunga Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 katika Uwanja wa Olimpiki wa Verona, Italia. (Xinhua/Sun Fei)
↑Picha hii iliyopigwa Feb. 22, 2026 inaonesha Uwanja wa Olimpiki wa Verona wakati wa sherehe ya kufunga Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 mjini Verona, Italia. (Xinhua/Li Jing)
↑Picha hii iliyopigwa Feb. 22, 2026 inaonesha sherehe ya kufunga Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 katika Uwanja wa Olimpiki wa Verona, Italia. (Xinhua/Wang Kaiyan)
↑Wasanii wakitumbuiza wakati wa sherehe ya kufunga Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 katika Uwanja wa Olimpiki wa Verona, Italia, Feb. 22, 2026. (Xinhua/Xue Yuge)
↑Picha hii iliyopigwa Feb. 22, 2026 inaonesha mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 mjini Cortina, Italia. (Xinhua/Zhang Chenlin)
↑Wabeba bendera wakipita katika gwaride wakati wa sherehe ya kufunga Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 katika Uwanja wa Olimpiki wa Verona, Italia, Feb. 22, 2026. (Xinhua/Sun Fei)
↑Mwenge wa Olimpiki wa Michezo ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 wazimwa katika Arco della Pace mjini Milan, Italia, Feb. 22, 2026. (Xinhua/Wu Wei)




