logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Xi aelekeza kuimarishwa kwa utafiti wa msingi ili kuijengea China nguvu katika sayansi na teknolojia

Xi alitoa kauli hiyo alipohudhuria kongamano kuhusu kuimarisha utafiti wa msingi mjini Shanghai

image
na XINHUA

Kimataifa04 May 2026 - 10:18

Muhtasari


    Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Mwenyekiti wa Tume Kuu ya Kijeshi, alitoa hotuba muhimu katika kongamano la kuimarisha utafiti wa msingi mjini Shanghai, mashariki mwa China, Aprili 30, 2026. (Xinhua/Zhai Jianlan)

    Rais wa China Xi Jinping Alhamisi alihimiza juhudi zaidi na hatua madhubuti za kuimarisha utafiti wa msingi, kuongeza uwezo wa China wa ubunifu wa asili, na kuimarisha zaidi msingi wa kuijenga nchi hiyo kuwa na nguvu katika sayansi na teknolojia.

    Xi, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Mwenyekiti wa Tume Kuu ya Kijeshi, alitoa kauli hizo alipohudhuria kongamano la kuimarisha utafiti wa msingi mjini Shanghai.

    Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Mwenyekiti wa Tume Kuu ya Kijeshi, alitoa hotuba muhimu katika kongamano la kuimarisha utafiti wa msingi mjini Shanghai, mashariki mwa China, Aprili 30, 2026. (Xinhua/Yan Yan)


    RADIO JAMBO FREQUENCIES

    Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


    logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved