logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Makovu:Mpenzi wangu alinichapa, akaning'oa meno na kisha akatoroka na elfu 200 zangu

Nilikusanya pesa za kuenda kujenga nyumbani, zikafika elfu mia mbili,

image
na Radio Jambo

Habari12 February 2021 - 10:07

Muhtasari


  • Mwanamume asimulia jinsi alipata kichapo cha mbwa kutoka kwa mpenzi wake
  • Baada ya mwanamke huyo kumchapa na kumng'oa meno alitoroka na elfu 200 zake 
sad man

Je ni jambo lipi ambalo umewahi fanyiwa na mpezni wako na hutawahi sahau katika maisha yako.

Kuna baadhi ya watu ambao waliachwa na makovu katika mili yao baada ya kupigana na wapenzi wao.

Mwanamume mmoja aliwaacha wanamitandao midomo wazi baada ya kufichua na kusimulia yaliyomkumba baada ya kupigana na mpenzi wake.

 

"Aliyekuwa mpenzi wangu alinichapa, alikuwa anakuja kila siku akiwa amelewa, nikiwa naye sijawahi jinunulia kiatu hata ya mia mbili nilikuwa nafana kazi ya mjengo, nikitoka naenda kuuza mahindi ili tuweze kupata pesa

Nilikusanya pesa za kuenda kujenga nyumbani, zikafika elfu mia mbili, baada ya mpenzi wangu kuona pesa zimekuwa nyingi, alinichapa mpajka akaning'oa meno

Si hayo tu alikuwa ananipa kichapo cha mbwa kila siku hadi mgongo wangu una alama ambazo nilipokea kutokana na kichapo hicho

Sasa anataka turudiane," Alileza Mwanamume huyo.

Je ni maoni yapi unaweza kumpa mwanamume huyo, je arudiane na mpenzi wake au amuache tu.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved