logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Wafahamu marais waliotawala kwa awamu zisizofuatana

Donald Trump atakuwa wa pili katika historia ya USA kutawala kwa awamu zisizofuatana.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Makala08 November 2024 - 08:17

Muhtasari


  • Olusegun Obasanjo na Muhammadu Buhari wa Nigeria ni miongoni mwa marais ambao walitawala kwa awamu zisizofuatana.
  • Trump alitawala kama rais wa Marekani kati ya 2016-2020 kabla ya kuchaguliwa tena mwaka wa 2024.