logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Grafiki: Tarehe za mihula ya shule mwaka wa 2025

Shule za msingi na za upili nchini Kenya zilifunguliwa Jumatatu, Januari 6.

image
na Samuel Mainajournalist

Makala07 January 2025 - 07:58

Muhtasari


  • Muhula wa kwanza ulianza Januari 6, 2025 na muhula wa mwishi utaisha Oktoba 24, 2025.