logo

NOW ON AIR

Listen in Live

(+PICHA)Jinsi maandalizi ya mazishi ya hayati Kibaki yanafanyika katika uwanja wa Nyayo

Rais mstaafu aliaga dunia siku ya Ijumaa wiki jana

image
na Radio Jambo

Makala28 April 2022 - 11:19

Maandalizi ya Ibada ya Kitaifa ya Mazishi ya Rais mstaafu hayati Mwai Kibaki yanaendelea katika uwanja wa Nyayo.

Ibada hiyo itaandaliwa Ijumaa siku moja kabla ya Rais huyo mstaafu kuzikwa Jumamosi nyumbani kwake Othaya, kaunti ya Nyeri.

Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang'i amewaagiza wananchi kuwa wamewasili kaba ya saa mbili asubuhi, kabla ya mwili huo kuwasili.

Rais mstaafu aliaga dunia siku ya Ijumaa wiki jana, huku habari za kifo chake zikitangazwa na rais Uhuru Kenyatta.

Hizi hapa baadhi ya picha za maandilizi hayo;


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved